top of page
  • Facebook
  • Instagram
  • YouTube

MWANAUME MASHINE - TIBA YA KIBAMIA

Uume mdogo (kibamia) ni nini?

- Kibamia ni kuwa na uume mdogo chini ya inch 5.

- Kibamia kinachangia asilimia 60 kutomridhisha mwenza wako na kuleta dharau au akachepuka

Kwanini upate fedheha kutokana na kuwa na maumbile madogo?

Pata inch mbili zaidi ya saizi uume wako kwa kutumia MWANAUME MASHINE

Sababu za mtu kuwa na kibamia

1 - kujichua au kupiga Punyeto

2 - Chango LA uzazi (Hernia, Ngiri, Busha, nk)

3 - Maradhi ya utotoni kama fungus za sehemu za siri

4 - Kupata ajali

5 - Kufanyiwa upasuaji sehemu za siri

6 - Kutahiriwa vibaya

7 - Kurithi kutoka kwa wazazi

8 - Unene kupita kiasi na kitambi

9 - Uvutaji wa sigara

10 - Upungufu Wa nguvu za kiume

11 - Kuvaa nguo za kubana

12 - Kukaa sehemu za baridi muda mrefu kama kwenye A. C

13 - Msongo wa mawazo

 

Kwa ajili ya kukupa matokeo ya haraka na kudumu mwanaume mashine imekuja na offa kabambe.

Sasa mwanaume mashine ina offa ya tiba yenye kuusaidia mwili kusawazisha na kuweka uwiano stahiki wa kichocheo cha Testosterone.

Kwa sababu tunatambua ya kwamba utapoteza pesa nyingi sana kwa kutumia madawa yenye kuboost na kukuza misuli ya uume na kuhisi kwamba ndio umetatua tatizo.

Hiki kichocheo ndio kinahusika kwa asilimia zote katika swala afya ya nguvu za kiume kuanza ukubwa wa uume mpaka ufanisi wa tendo la ndoa.

Kichocheo hiki au Hormone hii inahusika na mambo yafuatayo:

  • kuufanya uume uwe imara.
  • Kuendesha kitendo cha kumwaga wakati wa tendo.
  • Kuendesha usimamaji wa uume kwa haraka na kwa mda mrefu,
  • kuamsha sponge never kwenye kichwa cha uume kusimama haraka wakati wa kurudia tendo.
  • hamu ya kuwa na mwanamke na hisia za kujiamini
  • kutatua tatizo uchache wa mbegu (low sperm count) na ubora wa mbegu ugumba kwa ujumla.
  • Kuupa mwili joto
  • Kukuza misuli

 

Hii ndio hormone inayofanya wanaume wengi kuhisi wana upungufu wa nguvu za kiume.

 

  • Homoni ya Testosterone ikishuka kwa mwanaume anapata matatizo haya
  • Unaongezeka uzito kwa kasi hasa kitambi cha tumbo la chini, nyonga na mapaja na kupungua inakuwa kazi sana
  • Hamu ya kushiriki tendo la ndoa na matamanio kwa jinsia tofauti inapungua sana au kuisha kabisa inategemea na kiwango cha ukubwa wa tatizo.
  • Kiwango cha mbegu na ubora wa mbegu za kiume kushuka sana.
  • Unaanza kupoteza nywele, unaanza kukonda sehemu zingine isipokuwa tumbo la chini linaongezeka. Testostrone kujenga misuli ikiwa chini unaanza kupoteza misuli.

 

Huu ni ufumbuzi wa kudumu, wa uhakika na hauna madhara kwa sababu wengi wanaingia katika makosa na kulikuza tatizo kwa kujidunga sindano za testosteone.

Kitendo hiki kinasabisha mwili uhisi kitu kigeni (ambacho ni testosterone au kichocheo cha kiume) kimeongezeka kuzidi kiwango kilichotoa, hapo mwili utaanza kupambana kwa kushusha hicho kiwango. Mwili unashusha hicho kiwango wa kwa kugeuza testosterone kwa wingi kupeleka kuwa kichocheo cha kike (Estrogen). Kitendo hiki kinaitwa aromatization. Kwa mwanaume homoni hii inaanza kutawala kwenye damu.

Na haya ndio madhara estrogen kuwa juu kwa afya ya mwanaume

  • Homoni ya estrogen inapokuwa juu sana inashusha hamu ya tendo la ndoa kwa mwanaume kabisa, maumbile yanakuwa yanapungua kila siku. Ndio maana huwa nawapa somo unapopungukiwa nguvu za kiume na maumbile yanapopungua shida huwa ipo kwenye homoni. Lakini dawa nyingi ni za kusisimua misuli ya uume badala ya kushughulikia homoni.
  • Homoni ya estrogen huenda kushinikiza figo kuzuia madini ya chumvi na maji. Na hii inaweza kusababisha presha ya kupanda, moyo kupanuka nk
  • Uwezo wa kutungisha mimba wewe mwanaume unashuka sana kwa sababu idadi ya mbegu inashuka na ubora au afya ya mbegu inakuwa chini sana
  • Tezi ya kiume huwa inakuwa kwa kasi sana kwa kutegemea homoni hii, ndio maana hata dawa za tezi dume huenda kushusha kiwango cha estrogen kwa kuzuia aromatase isifanye kazi yake ya kubadilisha testosterone kuwa estrogen. Hivyo kiwango kingi cha homoni hii kwa mwanaume inakuhatarisha tezi dume kukua kwa kasi sana na kuanza kuzuia mkojo usitoke katika umri mdogo. Pia hata kansa ya tezi dume unakuwa hatarini kuapata.

 

Pia tatizo likizidi mwanaume anaweza kwa maana estrogen(kichocheo cha kike) kikitawala basi kitamfanya mwanaume matiti yakue, kutengeneza hipsi na sehemu za siri kupungua kwa kasi.

 

Pia kwa kutambua umuhimu wa afya yako, tumekuwekea CLEAN MASTER kwa ajili ya kuuondoshea mwili sumu na takataka na mafuta hatarishi kwa afya yako yaani unarudi kwa mpya uko fiti tayari kwa mapambano.

 

KWA MATIBABU USHAURI UCHUNGUZI NA UTAFITI WASILIANA NA NAMBA

+255718702717

Kwa kujua Mambo ya Afya Na Tiba Asili gusa link/kuinganishi kifuatacho

https://chat.whatsapp.com/JPOd7fS0rjCBW0opTN30GU

MWANAUME MASHINE

TSh 200,000.00 Regular Price
TSh 160,000.00Sale Price
Quantity
    bottom of page